JINSI YA KUTIBU MADOA KATIKA NGOZI KWA KUTUMIA LIMAO

Mara nyingi watu wamekuwa wakitumia madawa mbali mbali ya viwandani ambayo kwa wakati mwingine huwaletea madhara ila lengo likiwa ni lile lile kujitibu ngozi zao.
SABABU HASA ZA MADOA KATIKA NGOZI NI NINI?
Sababu kubwa ya tatizo hili huwa ni uzalishaji wa melanin pigment unaozidi usawa.Sasa ni kwa nini melanin inazalishwa kwa wingi.
sababu za melanini kuzalishwa kwa wingi ni kama hizi

  1. kukaa kwenye jua mda mrefu
  2. kuwa na msongo wa mawazo
  3. matatizo ya kihomoni
  4. mimba
  5. ukosefu wa vitamin fulan
  6. kukosa usingizi
  7. na mengineyo....
Image result for LEMON
SIFA ZA LIMAO
Nutrition Facts
Amount Per 
Calories 17
% Daily Value*
Total Fat 0.2 g0%
Saturated fat 0 g0%
Polyunsaturated fat 0.1 g
Monounsaturated fat 0 g
Cholesterol 0 mg0%
Sodium 1 mg0%
Potassium 80 mg2%
Total Carbohydrate 5 g1%
Dietary fiber 1.6 g6%
Sugar 1.5 g
Protein 0.6 g1%
Vitamin A0%Vitamin C51%
Calcium1%Iron1%
Vitamin D0%Vitamin B-60%
Vitamin B-120%Magnesium1%
Sasa jinsi kutumia limao kama dawa ni

  • chukua limao bichi kiasi na napendekeza liwe na rangi ya kijani
  • kata na kamua juisi yake iweke katika chombo safi
Image result for LEMON
  • chukua kitambaa safi na napendekeza kiwe kimetengenezwa kwa pamba
  • chovya kidogo juisi ile ya limao na 
  • sugua taratibu katika eneo husika 
Image result for lemon in skin care
  • hii ili kupata matokeo mazuri fanya kwa wiki mbili mfululizo
  • na kinga ni bora kuliko tiba jaribu kuepuka baadhi ya sababu za uzalishwaji mkubwa wa melanin.
NOTE:
lazima sehemu yenye athari isafishwe vizuri kabla ya kufuata maelekezo haya

Post a Comment

Previous Post Next Post